Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kampuni ya Yutong kufungua karakana Dar

Yotong Bus Kampuni ya Yutong kufungua karakana Dar

Fri, 10 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ubalozi wa Tanzania Nchini China umesema Kampuni ya Kichina inayotengeneza Mabasi ya Yutong inatarajia kufungua Karakana yake jijini Dar es salaam ili kutoa huduma kwa ufanisi kwa Wateja wao.

Ubalozi wa Tanzania Nchini China umesema Kampuni ya Kichina inayotengeneza Mabasi ya Yutong inatarajia kufungua Karakana yake jijini Dar es salaam ili kutoa huduma kwa ufanisi kwa Wateja wao. Taarifa hii imetolewa leo Jijini Beijing katika mkutano wa Balozi Mbelwa Kairuki na Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Africa ambapo Karakana hii itakuwa na ukubwa wa kuwahudumia Wateja wenye mabasi ya Yutong katika nchi za Afrika Mashariki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live