Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kampuni ya Apple kutambulisha simu mpya ya iPhone 14

Iphone 14.jpeg iPhone 14

Fri, 19 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya simu ya Apple inatarajia kutambulisha simu mpya za iPhone 14 mwezi ujao ambao ni mwezi wa tisa, tarehe 7 na simu hizo mpya zitaingia sokoni rasmi tarehe 16 ya mwezi huo huo. Pia inatajwa iPhone 14 zitakuwa na RAM ya 6GB na mfumo mpya wa RAM ambao ni wa haraka.

Kwa mujibu wa mtandao wa Bloomberg, imeutaja utambulisho wa simu mpya za iPhone 14 mwezi Septemba utafanyika kwa njia ya mtandao (online) kufuatia uwepo wa janga la Corona.

Pia, Apple inatarajia kuutambulisha mfumo mpya wa iPhone ambao ni iOS 16 ukiwa na muonekano mpya pamoja na option mbalimbali kama za kubadili fonts za time, aina ya texts, kuweka widgets katika Lock Screen, notifications n.k na utaanza kwa watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14. Imeelezwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live