Menu ›
Biashara
Tue, 14 Dec 2021
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Halmashauri ya Ilala imeibuka kidedea kwa ukusanyaji wa mapato katika ripoti iliyotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA ya robo ya pili ya mwaka 2021.
Katika ripoti hiyo Ilala imekusanya jumla ya shilingi bilioni 148.2 za kitanzania kwa kipindi cha miezi mitatu, mapato hayo ni yale yanatokana na ushuru wa bidhaa, majengo, biashara, ardhi na mengineyo.
Hata hivyo katika mkoa wa Dar es Salaam, Halmashauri nyingine zilizoongoza katika makusanyo ni pamoja na Kinondoni yenye jumla ya Tsh.bilioni 116, Temeke Tsh.bilioni 39 na Karikoo Tsh.bilioni 21.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live