Menu ›
Biashara
Mon, 13 Jun 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Bila kuwepo Mikakati, Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa, Idadi ya Watoto wanaotumikishwa inaweza kuongezeka kwa Milioni 8.9 ifikapo mwisho wa 2022, kutokana na umasikini pamoja na kuongezeka kwa mazingira magumu
Hali ya Ajira kwa Watoto inatajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi masikini ikielezwa Mtoto zaidi ya 1 kati ya 4 (umri kati ya miaka 5 - 17) anafanya kazi hatari kwa Afya na Maendeleo yao
Juni 12 ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ajira kwa Watoto, na japokuwa hatua kubwa zimepigwa kupunguza tatizo hili, bado Watoto Milioni 160 Duniani wapo katika Ajira
Chanzo: www.tanzaniaweb.live