Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hisa za Twitter zaporomoka

Ellon Musk Twitter.jpeg Hisa za Twitter zaporomoka

Fri, 8 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hisa za Twitter zimeshuka baada ya ripoti ya Washington Post kuhusu deal ya Elon Musk ya dola bilioni 44 kuinunua kampuni hiyo kuwa hatarini kuvunjika.

Hisa za Twitter zimeshuka baada ya ripoti ya Washington Post kuhusu deal ya Elon Musk ya dola bilioni 44 kuinunua kampuni hiyo kuwa hatarini kuvunjika. Tajiri huyo mkubwa zaidi duniani amewahi kueleza mashaka yake na hata kudokeza kuwa anaweza kuachana na mpango huo kutokana na Twitter kushindwa kuonesha idadi ya watumiaji "FEKI" wa mtandao huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live