Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gesi ya Mtwara kufika Kenya

WhatsApp Image 2022 10 10 At 17.23.40 (2).jpeg Gesi ya Mtwara kufika Kenya

Tue, 11 Oct 2022 Chanzo: eatv.tv

Rais wa Kenya William Ruto ameonesha nia ya kuihitaji gesi asilia ya Tanzania ili kupunguza gharama za nishati.

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa Kenya inakusudia kuendelea na ujenzi wa bomba la gesi asilia kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania hadi mji wake wa pwani wa Mombasa na baadaye mji mkuu Nairobi ikiwa ni mpango wa kupunguza gharama za nishati.

Rais Ruto ameviambia vyombo vya habari vya Tanzania, muda mfupi baada ya kufanya mazungumzo na Rais Samia Suluhu Hassan, katika ziara yake ya kwanza nchi Tanzania tangu aingie madarakani Septemba kwamba mradi huo utashusha bili za umeme kwa viwanda na matumizi ya nyumbani.

Chanzo: eatv.tv