Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gari dogo inayotumia ATM card "Shule hawafundishi hivi vitu"

Maxresdefault 17 660x400 Gari dogo inayotumia ATM card "Shule hawafundishi hivi vitu"

Mon, 20 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo July 20, 2020 AyoTV inakukutanisha na kijana Zuberi Ismail mwenye miaka 20 mkazi wa Kigoma ambaye aliishia darasa la 6 na alibuni pikipiki ndogo ya kwanza ambayo ilikua inawaka japo ilikua haina uwezo wa kubeba abiria.

Baada ya Serikali kuona ubunifu huo iliamua kumsomesha Chuo VETA Kigoma ufundi wa magari, leo kaja na ubunifu mwingine wa gari linalotumia ATM Card kama funguo ya kuliwasha.

“Hii gari inatumia ATM card tu, ukiweka kitambulisho haifanyia kazi tunaweza jaribisha ila itagoma, Shule nimesomea umeme wa magari kwa miezi mitatu, hii gari ina kompyuta yake ambayo hapa nimeifanya simu kuwa kompyuta yake” Zuberi

 

Chanzo: millardayo.com