Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fursa! Uganda yahitaji mabasi 500 kukabili changamoto ya usafiri

Usafiri Kigali Shida Tupu Fursa! Uganda yahitaji mabasi 500 kukabiliana na changamoto ya usafiri

Mon, 1 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jiji la Kigali limesema linahitaji angalau mabasi 500 ya abiria kukabiliana na changamoto ya usafiri inayowalazimu abiria kusubiri basi kituoni kwa hadi saa moja.

Jiji la Kigali limesema linahitaji angalau mabasi 500 ya abiria kukabiliana na changamoto ya usafiri inayowalazimu abiria kusubiri basi kituoni kwa hadi saa moja. Aidha, kunaangaliwa uwezekano wa kufunga mfumo utakaotoa taarifa za hali ya abiria ili basi likawachukue kwa wakati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live