Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fahamu kama iphone yako ni orginal

Iphone7 Apple Simu aina za iphone

Sat, 7 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simu aina ya iphone inayotengenezwa nchini marekani chini ya mwanzilisha Steve Job.imekuwa ikishika vizuri kwenye soko. kupelekea watu kuanza kuitengeneza feki na kuuzwa kwa bei rahisi.

Jinsi ya kufahamu simu yako ya iphone ni orginal,nenda sehemu ya setting>general> namba ya uhakiki itatokea kama MQ3D2HN/A. Herufi ya kwanza inahashiria uhalisia wa kifaa;

M - Ni Mpya F - Imerekebishwa Vifaa R - Imebadilishwa P - Imebinafsishwa

Kama simu yako ya iphone haianzi na herufi yoyote hapo basi ni wazi kuwa simu yako ni feki. Hakikisha unaponua simu yako iwe imeanzia na herufi M.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live