Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dkt. Mwinyi: Zanzibar imefungua milango ya uwekezaji

Image 288 1140x640.png Zanzibar imefungua milango ya uwekezaji

Thu, 23 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar tayari imefungua milango ya Uwekezaji.

Dkt. Mwinyi ameyasema hayo hii leo Machi 23, 2023 wakati alipokutana na wawekezaji kutoka Uingereza, wakiongozwa na Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Association na Amanda Van Dyke wa Kampuni ya ARCH, Ikulu mjini Zanzibar.

Tanzania, Marekani, kuendeleza uhusiano KidiplomasiaKufuatia hatua hiyo, Rais Dkt. Mwinyi amewataka Wawekezaji hao kuwekeza katika fursa zitokanazo na Uchumi wa Buluu, na hasa kwenye suala la uvuvi na vifaa vya kuhifadhia samaki .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live