Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dk Mwinyi azindua mfumo wa kieletroniki wa uwekezaji

Mwinyi Pic Nnnn Dk Mwinyi azindua mfumo wa kieletroniki wa uwekezaji

Fri, 10 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Mwinyi amesema lengo la Serikali ni kuimarisha na kuweka mazingira wezeshi ya kibiashara katika uwekezaji hapa nchini.

Dkt.Mwinyi ameyasema hayo wakati akizindua Muongozo wa Uwekezaji na Mfumo wa Kieletroniki wa Uwekezaji, wenye lengo la kurahisisha utoaji huduma kwa wawekezaji ikiwemo usajili na upatikanaji wa cheti cha uwekezaji wenye jina la "ZANZIBAR INVESTMENT ELECTRONIC WINDOW" (ZieW).

Ameongeza kuwa kukuza uwekezaji na kuleta maendeleo ni moja ya malengo makuu ya Serikali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live