Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Dhamana kubwa ya Wananchi ni Ardhi” -Mkurugenzi Wizara ya Ardhi

1634 Mill 660x400

Sat, 20 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mkurugenzi wa Mipango Miji na Vijiji kutoka Wizara ya Ardhi na Makazi John Lupalo amekutana na wadau wa Ardhi na Makazi kujadili changamoto za kuweza kuwasilisha katika Mkutano Mkuu wa Mipango Miji duniani utakaofanyika mwezi February 2018 nchini Malaysia.

Ameeleza kuwa kama nchi itafanikiwa kwa miaka 10 ijayo kuhakikisha kila kipande cha ardhi kimetambuliwa, kupimwa na kumilikishwa, wananchi wataweza kutumia maeneo yao ya ardhi kama mtaji.

“Tukiweza kupanga, kupima na kumilikisha ardhi vizuri, itakuwa fursa kubwa sana kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kukopa, kuongeza thamani ya ardhi yao, hii itawasaidia wananchi hata wale wasio na ajira rasmi.” – John Lupalo



BREAKING ‘Ninawapa wiki moja la sivyo tutavunja mkataba na TBA’- Waziri Ndalichako



Kifo cha Mama aliyegonga Ndege Airport Mwanza

Chanzo: millardayo.com