Menu ›
Biashara
Wed, 11 Jan 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaaam, Amos Makalla amesema mkoa huo umevunja rekodi kwa kuchangia asilimia 70 ya kodi katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaaam, Amos Makalla amesema mkoa huo umevunja rekodi kwa kuchangia asilimia 70 ya kodi katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya shilingi trilioni 12.4 katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/23 (Julai hadi Desemba 2022) kiasi ambacho ni sawa na asilimia 99 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 12.48.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live