Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chuo Kikuu Mzumbe Chaja na 'Personal Branding'

Dar Campus Nembo ya Chuo Kikuu Mzumbe, chenye makao makuu yake mjini Morogoro

Wed, 2 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa kutoa mafunzo hayo mtoa Mada, Carl bosser amesema kuwa wasijisikie vibaya kujitathimini pale wanapojijenga kwajili ya kutambulika.

Amesema kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo juu ya wananchuo hao juu ya kuyaimarisha juu ya Chapa binafsi (Personal Branding) ya kile wanachokifanya.

Hata hivyo aliwaeleza umuhimu watengeneza chapa binafsi zitakazo wafanya wajulikane zaidi kwa kile wanachokifanya kuliko wanavyojijua wao wenyewe.

Bosser amesema kuwa chapa ni urithi wa maisha ambao kila mmoja anatakiwa kujiwekea katika ufanyaji kazi zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live