Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Boti mpya 150 kutolewa kwa wavuvi

David Silinde Naibu (600 X 372) Boti mpya 150 kutolewa kwa wavuvi

Thu, 4 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali inakamilisha ujenzi wa boti za uvuvi 150 zitakazopelekwa kwa wavuvi katika maeneo mbalimbali nchini, ili kusaidia wavuvi katika shughiuli zao na kupata matokeo chanya kwenye shughuli zao.

Serikali inakamilisha ujenzi wa boti za uvuvi 150 zitakazopelekwa kwa wavuvi katika maeneo mbalimbali nchini, ili kusaidia wavuvi katika shughiuli zao na kupata matokeo chanya kwenye shughuli zao. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi David Silinde ameliambia Bunge jijini Dodoma kuwa ujenzi wa boti hizo upo katika hatua za mwisho na kabla ya mwisho wa mwaka huu wa fedha zitakuwa zimekamilika na kupelekwa kwa wavuvi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live