Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Boss You Tube ang'atuka

Boss Youtube Boss You Tube ang'atuka

Fri, 17 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Susan Wojcicki, Mtendaji Mkuu wa muda mrefu wa Google ambaye alichukua jukumu muhimu katika uundaji wa kampuni hiyo, anajiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa YouTube baada ya kutumia miaka tisa kuendesha tovuti ya video ambayo imebadilisha sekta za burudani, utamaduni na siasa.

Katika barua pepe kwa wafanyikazi wa YouTube ambayo iliwekwa wazi Alhamisi, Wojcicki mwenye umri wa miaka 54 alisema anaondoka ili "kuanzisha kitu kipya kinayoangazia familia yangu, afya, na miradi ya kibinafsi ninayoipenda." Hakufafanua mipango yake.

Neal Mohan, ambaye amefanya kazi kwa karibu na Wojcicki kwa miaka mingi, atachukua nafasi yake kama Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa YouTube.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live