Menu ›
Biashara
Thu, 4 Apr 2019
Chanzo: mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Hisham Abdel Hendi na wenzake wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka kumi yakiwamo ya kuongoza mtandao wa kihalifu na kuisababishia Serikali hasara ya Sh5.8 bilioni.
Washtakiwa hao wamefikishwa mahakama hapa leo Jumatano Aprili 3, 2019 na kusomewa mashtaka hayo katika kesi ya uhujumu uchumi namba 20/2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi.
Endelea kufuatilia Mwananchi kujua kinachojiri mahakamani hapo
Chanzo: mwananchi.co.tz