Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bodi yahamasisha ubanguaji wa korosho nchini

Korosho Makapi Makapi Bodi yahamasisha ubanguaji wa korosho nchini

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MENEJA Tawi Bodi ya Korosho Mkoa wa Dar es Salaam, anayesimamia pia Mkoa wa Pwani, Dorina Mkangala, amesema bodi hiyo inahamasisha ubanguaji wa ndani nchini, ili kuhakikisha wanapunguza kiasi cha korosho ghafi kubanguliwa nje.

MENEJA Tawi Bodi ya Korosho Mkoa wa Dar es Salaam, anayesimamia pia Mkoa wa Pwani, Dorina Mkangala, amesema bodi hiyo inahamasisha ubanguaji wa ndani nchini, ili kuhakikisha wanapunguza kiasi cha korosho ghafi kubanguliwa nje. Amesema kwa sasa kuna viwanda 30 nchini ambavyo vinajihusisha na ubanguaji wa korosho, ambavyo vina uwezo wa kubangua tani 60,000 kila mwaka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live