Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bilioni 7 zatolewa na WFP, wakulima elfu 24 wawezeshwa

B7810CDF 8FEA 4350 AB06 6E7D89F71ED0 660x400.jpeg Wakulima elfu 24 wawezeshwa

Sat, 11 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), kupitia Mradi wa Kigoma Joint Program (KJP), wamewezasha wakulima 24,000 pamoja nakutoa shilingi billion tatu kwa wilaya tatu za Kasulu, Kibondo na Kakonko mkoani Kigoma

Kupitia mradi huo katika eneo la kilimo unaotekelezwa na WFP, Kituo cha Biashara cha Kimataifa (ITC), Shirika la Uendelezaji wa Mitaji la Umoja wa Mataifa (UNCDF) na Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) katika halmashauri hizo.

Mkuu wa Ofisi ya WFP Kibondo, Saidi Johari wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mpango huo Johari amesema katika kuhakikisha wakulima wanaongeza uzalishaji WFP kwa kushirikiana na halmashauri walianza kutambua vikundi 1,255 na kutoa mafunzo kwa wakulima namna ya uhifadhi na kuzuia upotevu wa mazao kwa wakulima 24,316 kuanzia mwaka 2018.

Pamoja na hayo WFP imewezesha upatikanaji wa mashine za kupukuchua mahindi,uboreshwaji wa magala ya kuhifadhia mazao pamoja kutoa elimu ya kufanya kilimo cha kisasa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live