Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bia inayotengenezwa kwa kutumia mkojo wanywaji waikubali

MKOJO POMBE Bia inayotengenezwa kwa mkojo

Fri, 27 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakala wa Maji nchini Singapore (SWA) wamesema katika kukabiliana na utunzani wa mazingira pamoja na vyanzo vya maji wameamua kutengeneza bia kwa kutumia maji taka ikiwemo mkojo ili kuepusha matumizi ya maji safi mengi nchini humo.

Mamlaka hiyo inasema bia hiyo itawahamasisha watu kuongeza uelewa kuhusu uhaba wa maji na kutafuta suluhisho mpya la tatizo la maji, huku wataalamu wa afya wakisema bia hiyo ni salama na maji yaliyotumika yamesafishwa.

Wataalam nchini humu wanasema maji taka yanayokusanywa yanasafishwa na kuwa masafi ndipo yanatumika kutengeneza bia hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live