Benki ya Santander nchini Uingereza imejikuta mdomo wazi baada ya kugundua kwamba iliweka kimakosa pesa zinazofikia $ milioni 175 (Tsh. bilioni 400+) kwenye account za Wateja wake wanaokaribia elfu mbili siku ya Christmas December 25 2021.
Taarifa ya Benki hiyo imesema; "Tunasikitika kwamba kutokana na suala la kiufundi baadhi ya malipo kutoka kwa Wateja wetu wa kampuni yalinakiliwa kimakosa kwenye akaunti za wapokeaji, tutafanya kazi kwa bidii na benki nyingine kote Uingereza kurejesha miamala hiyo,”
Mara paap Benki imekosea muamala na kukuwekea mamilioni, vitu gani vitatu utafanya bila kupoteza muda ? ????