Menu ›
Biashara
Thu, 19 Jan 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Zao la Nazi linatajwa kupanda bei kutokana na mvua kunyesha kwa uchache msimu uliopita wa mwaka 2022 hali inayopelekea watumiaji wa nazi hasa kwa mikoa ya Pwani kushindwa kumudu gharama zake.
Zao la Nazi linatajwa kupanda bei kutokana na mvua kunyesha kwa uchache msimu uliopita wa mwaka 2022 hali inayopelekea watumiaji wa nazi hasa kwa mikoa ya Pwani kushindwa kumudu gharama zake. Baadhi ya wafanyabiashara katika soko la Ilala jijini Dar es salaam wanasema kwa sasa hali ni tofauti kwani nazi zilizopatikana kwa shilingi 300 sasa ni shilingi 800 hadi 1000.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live