Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BOMOABOMOA MOSHI: majengo yaliyokarabatiwa bila kufuata kanuni kuvunjwa

1176 WhatsApp Image 2018 01 05 At 19.00.04 660x400.jpeg TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 5, 2018 Mwenyekiti wa Mipango Miji katika Manispaa ya Moshi Antony Ndewawio amesema wafanyabiashara waliojenga na kukarabati majengo ya zamani ya kufanyia biashara yatavunjwa kwa kuwa hayajafuata kanuni za mipango miji.

Ametoa wito kwa wananchi kuomba ushauri kwa wahandisi wa Halmashauri kuhusiana na namna bora ya kujenga au kukarabati nyumba au majengo yao.

“Watu wote waliojenga upya sheria ni kuvunja majengo hayo, lakini kwa majengo yaliyokarabatiwa kwa asilimia ndogo, Halmashauri itafikia muafaka wa labda kulipa fidia au kuondoa walipopaongeza kwenye ukarabati wa majengo hayo.” – Antony Ndewawio

Muhimbili Hospitali wazungumzia Hali ya Mzee Kingunge

MAHAKAMANI: Rugemarila amewataja ‘wezi wa fedha za Escrow’

 

 

Chanzo: millardayo.com