Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BENKI KUFUNGWA: “Mamilioni yote yapo Benki, ndani nina elfu 20 tu sijui nitafanyaje na ada za watoto”

1186 WhatsApp Image 2018 01 05 At 19.33.20 1 660x400.jpeg TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Baada ya Benki Kuu ya Tanzania kuzifunguia benki tano January 4, 2018 ikiwemo Meru Community Bank baadhi ya wateja wa benki hiyo wameiomba serikali kuwasaidia kupatikana kwa fedha walizokuwa wameweka katika benki hiyo ili ziweze kuwasaidia katika matumizi mbalimbali.

Mmoja wa wateja aliyejitambulisha kwa jina la Elizabeth Munish amesema yeye aliwekeza pesa zake kwenye benki hiyo kwa sababu  aliamini ni Benki ya wananchi na ni sehemu salama kuweka pesa zake na hivyo taarifa ya kugungiwa ameipokea kwa masikitiko makubwa.

“Nimeweka pesa nyingi, ada za watoto zote nilikuwa nimeweka huku, hata Jumatatu sina ada ya kuwapeleka wanangu shule, nina watoto wa chuo na wa shule za English medium, sina hata senti tano na ndani nia shilingi Elfu ishirini tu.” – Elizabeth Munish

Muhimbili Hospitali wazungumzia Hali ya Mzee Kingunge

MAHAKAMANI: Rugemarila amewataja ‘wezi wa fedha za Escrow’

Chanzo: millardayo.com