Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azim Dewji ashusha bei ya sukari na maharage

Azim Dewji Queen Azim Dewji ashusha bei ya sukari na maharage

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfanyabiashara maarufu nchini Azim Dewji ametangaza rasmi kuanza kuuza Sukari kwa Tsh 2,800 kwa kilo moja na Maharagwe Tsh 2,800 kwa kilo moja ili kuwasaidia Watanzania wanaoteseka katika kipindi hiki ambacho wafanyabiashara wengine wanauza bidhaa hizo kwa bei ya juu.

Mfanyabiashara maarufu nchini Azim Dewji ametangaza rasmi kuanza kuuza Sukari kwa Tsh 2,800 kwa kilo moja na Maharagwe Tsh 2,800 kwa kilo moja ili kuwasaidia Watanzania wanaoteseka katika kipindi hiki ambacho wafanyabiashara wengine wanauza bidhaa hizo kwa bei ya juu. Azim Dewji amesema anazo Tani 1,000 za Sukari na tani elfu 60 za Maharagwe na ataziuza kwa bei nzuri ili watu wengi waweze kufaidika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live