Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asilimia 90 ya ngano nchini inaagizwa nje...

Unga Wa Ngano Asilimia 90 ya ngano nchini inaagizwa nje...

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji amesema Tanzania bado inazalisha asilimia 10 ya mahitaji na ngano na hivyo kulazimika kuagiza asilimia 90 ya bidhaa hiyo kutoka nje ya nchi.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji amesema Tanzania bado inazalisha asilimia 10 ya mahitaji na ngano na hivyo kulazimika kuagiza asilimia 90 ya bidhaa hiyo kutoka nje ya nchi. Akitoa akitoa taarifa ya mwenendo wa bei za bidhaa muhimu nchini leo Julai 25, 2023 jijini Dodoma, Waziri Kijaji amesema uzalishaji kwa mwaka 2021/22 ulikuwa tani 62,000 ikiwa ni pungufu ya tani 8,000 ukilinganisha na uzalishaji wa mwaka 2020/21.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live