Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asas kujenga kiwanda cha maziwa Rungwe

MAZIWA Asas kujenga kiwanda cha maziwa Rungwe

Sat, 12 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Asas imejenga kiwanda cha maziwa chenye thamani ya Sh bilioni 3 ambacho sasa kinatoa fursa ya soko la uhakika kwa wafugaji wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe. - Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Agustino Lawi alibainisha hayo katika mahojiano maalumu Lawi amesema kiwanda hicho kitaanza uzalishaji wa bidhaa zitokanazo na maziwa mwishoni mwa mwaka huu ambapo matarajio ni kusindika lita 50,000 kwa siku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live