Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arafat Haji ashinda Tuzo ya CEO Bora wa Mwaka Uingereza

Arafat Pic Data Arafat Haji ashinda Tuzo ya CEO Bora Uingereza

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Ally Haji ambaye pia ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Bima la Zanzibar ZIC ameshinda tuzo ya Insurance Corporation CEO of the Year 2023 (Afisa Mtendaji Mkuu bora wa Shirika la Bima 2023).

Tuzo hizo ambazo zinatolewa na jarida la Global Brands la United Kingdom (UK), Arafat ameshinda katika kipengele cha Leadership Awards.

Mbali na Arafat kushinda tuzo hiyo, ameliongoza Shirika la Bima la Zanzibar kushinda tuzo ya Most Reliable Insurance Corporation katika kipengele cha Insurance Awards.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live