Biashara

Habari

Burudani

Michezo

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajira benki, taasisi za fedha zaongezeka

Ajira Mpyaaaaa Ajira benki, taasisi za fedha zaongezeka

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi katika mwaka 2022/23 inaonesha kwamba ajira katika benki na taasisi za fedha nchini zimefi kia 18,071. - Tathmini hiyo inaonesha kwamba kati yake Watanzania 18,023 na wageni 48, huku 2021/22 zilikuwa 17,528 kati yake Watanzania walikuwa 17,477 na wageni 51. Akizungumza na HabariLEO ofisi kwake, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji wa Kiuchumi (NEEC), Isaac Dirangw alisema matokeo ya tathmini ya utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya mwaka 2004 inaonesha kwamba Watanzania wengi wameajiriwa katika benki na taasisi ya fedha nchini. - “Ajira katika benki na taasisi za fedha katika mwaka 2021/22 kwa Watanzania zilikuwa 17,477 dhidi ya 51 za wageni na ziliongezeka katika mwaka 2022/23 na kufikia 18,023 dhidi ya 48 za wageni,” alisema Dirangw.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live