Menu ›
Biashara
Fri, 13 May 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi Ladislaus Matindi, akimwonyesha Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (kulia ) ukubwa wa eneo la Uwanja wa Ndege wa Tanga linalotakiwa katika upanuzi wa kiwanja hicho ili ndege kubwa ziweze kutua.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi Ladislaus Matindi, akimwonyesha Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (kulia ) ukubwa wa eneo la Uwanja wa Ndege wa Tanga linalotakiwa katika upanuzi wa kiwanja hicho ili ndege kubwa ziweze kutua. Amesema wakati wa ziara ya siku moja kukagua uwanja huo jijini Tanga.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live