Benki ya Absa ambayo ilibadili jina kutoka Barclays mwka mmoja uliopita imeibuka Kinara wa kutoa huduma bora za kifedha Africa.
Benk hiyo imepewa tuzo na kampuni inajishughulisha na ufuatiliaji wa mienendo ya Bank ya Euromoney's Awards for Excellence ambapo Absa imepata tuzo miongoni mwa bank 50 zilizowasilisha majina yao.
Hii ni Tuzo ya Tatu kwa mwaka 2021 pekee ambapo tayari imepokea tuzo mbili ya bank Bora ya uwekezaji na benki bora ya uwekezaji kwa mwaka 2021.
Absa ni Bank ilyowekeza zaidi Afrika huku imewekeza zaidi kwenye matumizi ya tekinologia katika utoaji wa huduma bora na ubunifu katika biashara.