Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zulfa Macho amchakaza Mganda ndondi kufuzu Olimpiki 2024

Zulfa Ndindi Zulfa Macho amchakaza Mganda ndondi kufuzu Olimpiki 2024

Sun, 10 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Zulfa Macho Yusufu wa Tanzania ameanza vizuri Mashindano ya kufuzu Olimpiki ya Paris 2024 kwa Bara la Afrika baada ya ushindi wa points 5-0 dhidi ya Grace Nankinga wa Uganda katika uzito wa Fly leo Jijini Dakar nchini Senegal.

Bondia Zulfa Macho Yusufu wa Tanzania ameanza vizuri Mashindano ya kufuzu Olimpiki ya Paris 2024 kwa Bara la Afrika baada ya ushindi wa points 5-0 dhidi ya Grace Nankinga wa Uganda katika uzito wa Fly leo Jijini Dakar nchini Senegal. Kwa ushindi huo, binti huyo wa mwanasoka nyota nchini wa zamani aliyewika Simba, Yanga na Taifa Stars ameingia hatua ya 16 Bora na atapambana Adeiola Oyesiji wa Nigeria

Chanzo: www.tanzaniaweb.live