Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakuu wa Wilaya Wamtembelea Twaha Kiduku

Kiduku1233.jpeg Wakuu wa Wilaya Wamtembelea Twaha Kiduku

Thu, 17 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mathayo Masele ameweka wazi kuwa anakwenda kuwahamasisha wananchi wake wa Wialaya Malinyi kujitokeza kwa wingi Machi 26, mwaka huu kwa lengo la kufika Morogoro Mjini kumsapoti kijana wao Twaha Kiduku katika pambano lake la kimataifa dhidi ya Alex Kabangu kutoka DR Congo.

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mathayo Masele ameweka wazi kuwa anakwenda kuwahamasisha wananchi wake wa Wialaya Malinyi kujitokeza kwa wingi Machi 26, mwaka huu kwa lengo la kufika Morogoro Mjini kumsapoti kijana wao Twaha Kiduku katika pambano lake la kimataifa dhidi ya Alex Kabangu kutoka DR Congo. DC Masele ametoa kauli hiyo kuelekea katika pambano hilo linalotarajia kupigwa Machi 26, mwaka huu kwenye #Ukumbi wa #Tanzanite mkoa Morogoro huku pia akiwaomba wananchi wa mikoa ya jirani kujitokeza kwa wingi siku hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live