Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

WBA yampatia Anthony Joshua saa 24

10096 Anthony Joshua 22 TZW

Wed, 27 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

/>

Bondia wa Uingereza, Anthony Joshua

Wakati bingwa wa WBC, Wilder anatafakari namna ya kurejesha mkataba wa maridhiano ya kupambana na Joshua Chama cha mchezo wa ngumi duniani (WBA) imevunja mazungumzo hayo na kuamuru Muingereza huyo kupambana na Povetkin kwanza.

Povetkin is the mandatory challenger for Joshua's WBA belt

Bondia Povetkin

Rais wa WBA, Gilberto Mendoza amempatia Joshua mwezi mmoja wa ziada wa mazungumzo na Wilder lakini kwanza kupambana na Povetkin ili kuulinda mkanda wake kwa kuwa timu ya Wilder imechelewa lirejesha mkataba huo mpaka sasa na hivyo kuofia muda wa kutetea taji lake kupita.

Loading...
Chanzo: bongo5.com