Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#VITASA: Mfaume Mfaume amchapa Mmalawi kwa Pointi

Mfaume Mfaume.jpeg Bondia Mfaume Mfaume amchapa Mmalawi

Fri, 30 Jun 2023 Chanzo: Tanzaniawwb

Mtanzania, Mfaume Mfaume ameshinda kwa pointi dhidi ya Mmalawi, Chikondi Makawa katika pambano la ndondi usiku huu.

Mtanzania, Mfaume Mfaume ameshinda kwa pointi dhidi ya Mmalawi, Chikondi Makawa katika pambano la ndondi usiku huu. Mchezo huo umepigwa katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam huku Mfaume akitawala pambano hilo kutokana na mpinzani wake kutumia muda mwingi akijilinda.

Chanzo: Tanzaniawwb