Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Mwakinyo Ampiga Muangola Kwa KO Na Kutwaa Taji La WBC

Video Archive
Sat, 29 May 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

VIDEO: Mwakinyo Ampiga Muangola Kwa KO Na Kutwaa Taji La WBC May 29, 2021 by Global Publishers



BONDIA Mtanzania Hassan Mwakinyo Mei 29, 2021 ametwaa taji la WBC Afrika uzito wa Super Welter baada ya kumpiga kwa Knockout (KO) raundi ya tisa Muangola Antonio Mayala kwenye ukumbi wa Next Door Arena, Masaki Jijini Dar es Salaam.

Mtanzania mwingine, Ibrahim Mgendera ‘Ibra Class’ amemshinda kwa pointi Sibusiso Zingange wa Afrika Kusini katika pambano lisilo la ubingwa uzito wa Super Feather raundi nane.

Lakini haukuwa usiku nzuri kwa Mtanzania mwingine, Shaaban Jongo maarufu kama Jongo Jongo aliyepigwa kwa KO raundi ya pili na Mnigeria, Olanrewaju Durodora katika pambano la kuwania taji a WBC Afrika uzito Cruiser.

Chanzo: globalpublishers.co.tz