Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyson alivyoamua kukaa miaka mitano padipo kufanya Mapenzi

Tyson 5 Tyson alivyoamua kukaa miaka mitano padipo kufanya Mapenzi

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupanga ni kuchagua, ndicho alichowahi kukifanya bingwa wa ngumi duniani Mike Tyson kukaa miaka mitano bila ya kufanya mapenzi ili kulinda nguvu zake.

Unajua ilikuwaje? Iki hivi, mabondia duniani wanaamini kufanya mapenzi kunamaliza nguvu mwilini, hivyo wapo wanaokaa miezi mitatu hadi sita wakiwa wanajiandaa na pambano.

Sasa Tyson wakati anataka kuja kuwa bondia wa kulipwa na kuutafuta ‘ustaa’ akaamua kukaa miaka mitano bila kufanya mapenzi kuanzia mwaka 1981 hadi 1986 kwa ajili ya kutunza nguvu, baada ya hapo kilichofuata ni kuwakalisha mabondia kila kukicha.

Miongoni mwa mabondia ambao wanaamini kufanya mapenzi kunapunguza nguvu ni pamoja na Manny Pacquiao na Amir Khan.

Tuambie wewe unaweza kukaa muda gani bila ya kufanya mapenzi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live