Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyson Fury atembeza kichapo kwa Dillian Whyte

Fury Fury Tyson Fury alimtandika Whyte kwa KO

Sun, 24 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Mwingereza Tyson Fury amemkung'uta kwa KO Mwingereza mwenzie Dillian Whyte kwenye raundi ya 6 ya pambano la uzito wa juu lililochezwa kwenye uwanja wa Wembley na kufanikiwa kubakisha mkanda WBC.

Bondia Mwingereza Tyson Fury amemkung'uta kwa KO Mwingereza mwenzie Dillian Whyte kwenye raundi ya 6 ya pambano la uzito wa juu lililochezwa kwenye uwanja wa Wembley na kufanikiwa kubakisha mkanda WBC. Furry kwa sasa atakuwa amepigana mapambano 33 akishinda 32 akitoa droo 1 na ameshinda kwa KO mara 23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live