Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Twaha Kiduku amchapa Mmisri, abeba mikanda miwili

Twaha Kiduku Twaha.jpeg Twaha Kiduku aibuka mbabe dhidi ya Abdo Khale kutoka Misri

Sat, 24 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Mtanzania Twaha Kiduku ameshinda ubingwa wa UBO Intercontinental baada ya kumtwanga mpinzani wake Abdo Khaled, raia wa Misri, katika pambano la raundi 10 lililofanyika mkoani Mtwara.

Bondia Mtanzania Twaha Kiduku ameshinda ubingwa wa UBO Intercontinental baada ya kumtwanga mpinzani wake Abdo Khaled, raia wa Misri, katika pambano la raundi 10 lililofanyika mkoani Mtwara. Twaha ameshinda pambano hilo kwa pointi baada ya majaji wote watatu kumpa alama zaidi ya mpinzani wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live