Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Twaha Kiduku achezea kichapo mbele ya Msauzi

IMG 5081.jpeg Twaha Kiduku alipigwa kwa Pointi

Sat, 29 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amepoteza pambano la Ubingwa wa WBF Intercontinental (Ubingwa wa Mabara) dhidi ya Bondia wa Afrika Kusini Asemahle Wellem kwa point katika pambano la round 12 lililochezwa jijini Mwanza.

Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amepoteza pambano la Ubingwa wa WBF Intercontinental (Ubingwa wa Mabara) dhidi ya Bondia wa Afrika Kusini Asemahle Wellem kwa point katika pambano la round 12 lililochezwa jijini Mwanza. Pambano hilo la uzito wa super middleweight limemfanya Bondia Asemahle kucheza pambano lake la 7 bila kupoteza wakati Twaha Kiduku mara ya mwisho kupoteza pambano lolote ilikuwa tarehe 20/05/2021 dhidi ya Bek Nurmaganbet Raia wa Kazakhstan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live