Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tony Rashid, Bongani Mahlangu ni suala la muda tu

FACE OFF MASSAGE Mabondia Tony Rashid na Bongani Mahlangu

Thu, 24 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni Shughuli ya kupima uzito na mabondia kukutana ana kwa ana (Face Off) kuelekea katika "Usiku wa Vitasa" siku ya Ijumaa Februari 25.

Shughuli nzima ilifanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza huku Shughuli rasmi itakuwa kesho kuanzia saa Moja Usiku.

Bondia Tony Rashid atakuwa na kibarua kizito cha kulipa kisasi mbele ya Msauzi Bongani Mahlangu katika Pambano la Raundi 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live