Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tizi la Twaha Kiduku noma, aburuza gari likiwa limezimwa

Tizi La Twaha Kiduku Noma, Aburuza Gari Likiwa Limezimwa Tizi la Twaha Kiduku noma, aburuza gari likiwa limezimwa

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Twaha Kiduku ameeleza namna alivyojiandaa na Pambano la kuwania ubingwa wa WBF International Super Middleweight kati yake na Bondia Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini ???????? litakalopigwa jijini Mwanza Julai 29, 2023 huku akiwaomba Wananchi wa Mwanza Kujitokeza kwa wingi Kumpa Support katika Pambano hilo.

Bondia Twaha Kiduku ameeleza namna alivyojiandaa na Pambano la kuwania ubingwa wa WBF International Super Middleweight kati yake na Bondia Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini ???????? litakalopigwa jijini Mwanza Julai 29, 2023 huku akiwaomba Wananchi wa Mwanza Kujitokeza kwa wingi Kumpa Support katika Pambano hilo. Kiduku ameeleza hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya Kupima Uzito ambapo pia ameeleza umuhimu wa aina ya Mazoezi ambayo amekuwa akiyafanya ikiwemo Kuvuta na Kusukuma Gari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live