Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Bondia Hassan Mwakinyo afiwa na mama yake mzazi

Mwakinyo Na Mama Hassan Mwakinyo akiwa na mama yake enzi za uhai wake

Wed, 22 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mama mzazi wa Bondia, Hassan Mwakinyo anayejulikana kwa jina la Fatuma Hassan Siri amefariki Dunia leo Sinza Jijini Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinasema kuwa chanzo ni baada ya kuumwa na kulazwa Muhimbili kwa siku sita kutokana na kuwa na uvimbe tumboni.

TanzaniaWeb inatoa pole kwa familia na Mashabiki wa Hassan Mwakinyo, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huo.

Taarifa zaidi zitakujia endelea kuwa karibu na TanzaniaWeb na kurasa zetu za mitandao ya Kijamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live