Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi ya kibabe aliyoandika Usyk baada ya kumchapa Fury

Usyk Fury Mz Rekodi ya kibabe aliyoandika Usyk baada ya kumchapa Fury

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia wa Ukraine Oleksandr Usyk usiku wa kuamkia jana ameshinda pambano dhidi ya bondia wa Uingereza Tyson Fury kwa pointi 115-112, 114-113, 113-114 na kuwa Bingwa wa Dunia wa uzito wa juu “Undisputed Heavyweight World Champion”.

Usyk anaweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kushinda pambano dhidi ya Tyson Fury ambaye kabla ya pambano hili,alikuwa amecheza mapambano 35 bila ya kupoteza.

Rekodi ya Oleksandr Usyk

Mapambano 22

Ushindi 22

Ushindi kwa KO 14

Ushindi kwa Point/Decision - 8.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live