Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pambano la Mike Tyson na Jake Paul laahirishwa

Mike Tyson Na Jake Paul Mike Tyson na Jake Paul

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pambano la ndondi kati ya Bondia Mike Tyson na Jake Paul ambalo lilipangwa kufanyika Julai 20, 2024 limeahirishwa hii ni punde tu baada ya Tyson kupata changamoto za kiafya hali ambayo imetajwa kuathiri ratiba yake ya mazoezi kwa siku zijazo.

Vyanzo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa pamde zote mbili zimefikia maamuzi hayo na Tyson atarejea mazoezini wiki chache zijazo.

Pambano hilo licha ya kuhairishwa kwake tarehe rasmi ya kufanyika itatangazwa siku zijazo ambapo bondia Tyson atakuwa na Miaka 58 wakati mpinzani wake Paul atakuwa na umri wa Miaka 27.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live