Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ngumu za 'Peresu Peresu' zampa ushindi Mandonga

C8f8e054 5d48 4601 9bf5 0beaf17cbb65 Ngumu za 'Peresu Peresu' zampa ushindi Mandonga

Tue, 27 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Karim Mandonga amefanikiwa kupata ushindi wa pointi dhidi ya Alibaba Tarimo katika pambano la uzito wa kati lisilo la ubingwa la Raundi 4 Mkoani Arusha.

Bondia Karim Mandonga amefanikiwa kupata ushindi wa pointi dhidi ya Alibaba Tarimo katika pambano la uzito wa kati lisilo la ubingwa la Raundi 4 Mkoani Arusha. Akizungumza baada ya ushindi huo Mandonga amesema alichoahidi amekitimiza kwa kuwa mpinzani wake hakuwa na uwezo wa kupigana naye. Upande wa Alibaba amesema anaamini hilo pambano lilikuwa sare, hivyo mpinzani wake amebebwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live