Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwakinyo vs Liam Smith kurudiwa Januari 23

Liam Smith Hassan Mwakinyo 5884666 Mwakinyo vs Liam Smith

Mon, 5 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amesema kutokana na refa wa pambano la jana kuwa ‘unfair’ kwake, Promota Benjamin Shalom, sasa wamefikia makubaliano ya kurudia pambano hilo na mpinzani wake, Liam Smith, Januari 23, 2023.

Usiku wa Septemba 3 2022 Mwakinyo katika pambano dhidi ya Muingereza Liam Smith lililochezwa jijini Liverpool England alipoteza kwa TKO round ya 4 katika pambano la round 12 ambalo hata hivyo lilikuwa gumzo kutokana na jinsi lilivyomalizika kwa utata.

"Kutokana na mchezo wa jana na kitendo cha Refa kuwa unfair kwangu kimemlazimu Promoter Benj Shalom kutupa nafasi ya re-match na Liam Januari 23," ameandika Mwakinyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live