Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwakinyo aporomoka kwenye orodha ya Ubora Afrika

Bondia Hassan Mwakinyo Hassan Mwakinyo

Mon, 14 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

KWENYE orodha ya mabondia 10 bora wa bara la afrika, kutoka madaraja yote ya uzito (P4P), taifa la Afrika Kusini limeongoza kwa kutoa mabondia 6.

Wengine ni kutoka taifa la DR Congo, Namibia na Ghana, Huku mabondia wa Tanzania wakiwa hawapo hata 20 bora.

Orodha hiyo ni kama ifuatavyo:-

1.Ilunga Makabu

2.Thabiso Mchunu

3.Jeremia Nakathila

4.Martin Bakole

5.Richard Commey

6.Thulani Mbenge

7.Azinga Fuzile

8.Jackson Chauke

9.Kevin Lerena

10.Zolani Tete

....

23.Tony Rashid

24.Hassan Mwakinyo

37.Ibrahim Class

85.Juma Choki

86.Twaha Kiduku

208. Mfaume Mfaume

Chanzo: www.tanzaniaweb.live