Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwakinyo aomboleza kifo cha Mama yake

Mwakinyo Jr (600 X 750) Bondia, Hassan Mwakinyo aonesha wazi masikitiko yake

Thu, 23 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Hassan Mwakinyo ameeleza masikitiko yake kuondokewa na Mama yake mzazi siku ya Jana Disemba 22.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mwakinyo ameandika;

"Kama kuna siku nimekosa raha ya kila kitu ulimwenguni ni kukukosa wewe Mlezi wangu,Mama mzazi nilie yatoa maisha yangu kwa utayari wa kufanya kila kitu kwa ajili yako nikulee mzee wangu lakini kwa mungu haikuwa ridhiki eeh yaaarab nijalie ustahamilivu msiba wa mama yangu kipenzi"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live