Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwakinyo amtandika Kuvesa kwa Pointi

Mwakinyo X KUvesa Mwakinyo amtandika Kuvesa kwa Pointi

Mon, 24 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lisilo na ubingwa dhidi ya Kuvesa Katembo kutoka Afrika Kusini.

Bondia Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lisilo na ubingwa dhidi ya Kuvesa Katembo kutoka Afrika Kusini. Pambano hilo lililochezwa katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma lilikuwa na mizunguko (round) nane ambapo ameshinda kwa pointi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live